ccmmorogoro

Kurasa

  • HOME
  • UVCCM
  • UWT
  • WAZAZI
  • WABUNGE
  • MAWASILANO
  • WAASISI/CCM
  • VIONGOZI MORO

Ijumaa, 17 Mei 2013

BALOZI ANAYESHUHULIKIA MASHIRIKIANO YA NCHI MBALIMBALI WA DENMARK AKUTANA NA DK SHEIN IKULU IMG_0654

IMG_0654 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi anayeshuhulikia
mashirikiano  ya nchi mbili wa Denmark Charlotte  Slente,alipofika
Ikulu Mjini Zanzibar leo mchana akiwa na ujumbe aliofuatana
nao,akiwemo Balozi wa Denmark  nchini Johnny Flento,(hayupo pichani)
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_0663 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na  Balozi anayeshuhulikia
Mashirikiano  ya nchi mbili wa Denmark Charlotte  Slente,alipofika
Ikulu Mjini Zanzibar leo mchana akiwa na ujumbe aliofuatana
nao,akiwemo Balozi wa Denmark  nchini Johnny Flento,(kushoto) [Picha
na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_0676 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein,akifuatana na  Balozi anayeshuhulikia
mashirikiano  ya nchi mbili wa Denmark Charlotte  Slente,alipofika
Ikulu Mjini Zanzibar leo mchana baada ya mazungumzo yaliyofanyika
Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Posted by ccmmorogoro at 14:44
Tuma Hii kwa Barua pepeBlogu Hii!Chapisha kwenye XShiriki kwenye FacebookShiriki kwenye Pinterest

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Chapisho Jipya Taarifa za zamani Nyumbani
Jisajili kwenye: Chapisha Maoni (Atom)
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi Na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi Na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Mh Dr Jakaya Kikwete

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi
Mh Abdurahman Kinana

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Morogoro Na Mbunge Wa Morogoro Kusini

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Morogoro Na Mbunge Wa Morogoro Kusini
Mh Innocent Kalogeris

Katibu wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Morogoro

Katibu wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Morogoro
Mh Romuli John

Kumbukumbu la Blogu

Machapisho Maarufu

  • WAZIRI MKUU AWAHAKIKISHIA WAHANGA WA MAFURIKO UHAKIKA WA DAWA NA CHAKULA
     Waziri mkuu Mizengo Pinda akitembelea eneo la Dumila ambako daraja limekatika na kusababisha kukosekana kwa mawasiliano  kati ya Dodoma ...
  • MANISPAA MORO YASAINI MKATABA WA KUTENGENEZA BARABARA ZA RAMI
    MANISPAA MORO YATIA SAINI MKATABA WA MABILIONI YA FEDHA UKARABATI WA BARABARA KWA KIWANGO CHA RAMI  Meya wa manispaa ya Morog...
  • MBUNGE WA JIMBO LA MOROGORO MJINI AFUNGA KAMBI YA UVCCM
     Mbunge wa jimbo la Morogoro mjini Mohamed Aziz Abood  Akimkabidhi cheti Kada UVCCM Wilaya ya Morogoro mjini CCM,Wakati wa kufunga kambi ...
  • MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHANI MSIBA WA MZEE ALLY SYKES JIJINI DAR LEO
     Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akitia saini katika kitabu cha maombolezo ya msiba w...
  • MKURUGENZI WA FES NCHINI AIPONGEZA CCM KWA KUJENGA DEMOKRASIA NCHINI
      Mkurugenzi Mkazi wa FES nchini, Rolf Paasch (Kulia)akizungumza na Makamu Mwenyekiti wa CCM -Bara Ndugu Philip Mangula,leo katika ...
  • MVOMERO WATAKA MASHAMBA PORI 50 YAREJESHWE KWA WANANCHI
    MAKALA maalumu ya migogoro ya ardhi  wilayani Mvomero. WILAYA ya Mvomero ni miongoni mwa wilaya zinazokabiliwa na migo...
  • KATIBU MKUU KIONGOZI BALOZI OMBENI SEFUE AKUTANA NA BALOZI WA CANADA NCHINI MHE ALEXANDRE LEVEQUE LEO
    Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue (kushoto) katika mazungumzo na Balozi wa Canada nchini Tanzania Mhe Alexandre Leveque aliyemtemb...
  • TANGAZO LA KAZI KUTOKA SEKRETARIETI YA AJIRA KATIKA UTUMISHI WA UMMA
    Sekretarieti ya Ajira kwa niaba ya Tanzania Dairy Board, Tanzania Institute of Accountancy, College of Business Education, National In...
  • Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein, Asha Balozi na Wake wa Wabunge na Wawakilishi wa CCM watoa mchango wao kwa WanaCCM Kaskazini Unguja.
    MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein, akimkabidhi mifuko ya saraju na fedha tasilim...
  • KINANA AITEKA KIBAHA KIJIJNI, WANANCHI WAFURIKA KUMTEGEA MASIKIO YAO!!!
    Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akihutubia wakazi wa Kibaha Kijijini kwenye viwanja vya Shule ya Msingi Mtongani ambapo aliwaam...

Orodha Yangu ya Blogu

  • CCM Blog
    WENGI WAVUTIWA NA ELIMU YA VIPIMO BANDA WMA NANENANE DODOMA - Katika siku ya pili ya Maonesho ya Nanenane kitaifa jijini Dodoma, wadau mbalimbali wameonekana kuvutiwa na elimu ya vipimo inayotolewa na Wakala wa Vipimo...
    Saa 8 zilizopita
  • JIACHIE
    Standard Chartered Foundation Yatoa TZS Milioni 21.4 Kuwezesha Wanawake Kiuchumi Kupitia Programu ya Mabinti ya CCBRT - Standard Chartered Foundation, kupitia Standard Chartered Tanzania, imetoa mchango wa TZS 21,456,431.52 kwa ajili ya kuunga mkono Programu ya Mabinti ya...
    Siku 1 iliyopita
  • JUMA MTANDA
    MAISHA YA MWANASOKA HODARI, PELE NA MAISHA NJE YA SOKA YANASIKITISHA ! - Na Geofrey Chambua. Kwa watu wengi, Pele ni mchezaji bora zaidi kuwahi kushuhudiwa katika uwanja wa kandanda, na siyo bure kwamba walimpa jina la utani ka...
    Miaka 8 iliyopita
  • AUDIFACE JACKSON - OFFICIAL BLOG
    - *MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu kwenye ukum...
    Miaka 8 iliyopita
  • FULL SHANGWE BLOG
    Interrupt iPad 2 Auto-Sync - How many times have you wanted to plug your iPad into your computer to charge but you didn’t want to deal with the interruption that syncing causes to wh...
    Miaka 10 iliyopita
  • INNOCENT KALOGERIS
    CCM YAMTEUA RIDHIWAN KIKWETE KUWA MGOMBEA JIMBO LA CHALINZE - [image: cccm_7bdac.png]
    Miaka 12 iliyopita
  • Nkoromo Blog
    -

Wachangiaji

  • Jason
  • Unknown
  • ccmmorogoro
AJ IT DEVELOPMENT .CO.LTD. Mandhari ya Dirisha la Picha. Inaendeshwa na Blogger.