ccmmorogoro

Kurasa

  • HOME
  • UVCCM
  • UWT
  • WAZAZI
  • WABUNGE
  • MAWASILANO
  • WAASISI/CCM
  • VIONGOZI MORO

Jumatano, 22 Mei 2013

MATUKIO KATIKA PICHA BUNGENI MJINI DODOMA LEO

IMG_1585 
Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe. Dkt. Fenella Mukangara  akitoa maelekezo kwa Mkurugenzi wa Sera na Mipango  Gasper Mwembezi  wa wizara hiyo.IMG_1596 
Mbunge wa Kawe Mhe. Halima Mdee (CHADEMA ),pamoja na Mhe. Ester Bulaya (Viti Maalumu-CCM)) wakiingia bungeni leo.IMG_1604 
Waziri wa Maliasili na Utalii pamoja na Manaibu Waziri kutoka Wizara mbalimbali wakisikiliza michango ya wabunge wakati wa kujadili bajeti ya Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na MichezoIMG_1625 
Naibu Waziri wa Kilimo,Chakula na Ushirika Mhe. Adam Malima akijibu  maswali ya wabunge bungeni leo.IMG_1656 
Waziri wa Nchi ofisi ya Rais (Mahusiano na Uratibu) Mhe. wasira akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo leo.IMG_3844 
Mhe. Michael Leizer (Longido),Mhe.Rita Kabati (Viti maalumu CCM) na Mhe. Deogratius Ntumazina(Ngara) wakiingia bungeni leo.IMG_3920Wabunge wakitoka katika ukumbi wa bunge baada ya kipindi cha asubuhi kumalizika
Posted by Bila jina at 10:09
Tuma Hii kwa Barua pepeBlogu Hii!Chapisha kwenye XShiriki kwenye FacebookShiriki kwenye Pinterest

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Chapisho Jipya Taarifa za zamani Nyumbani
Jisajili kwenye: Chapisha Maoni (Atom)
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi Na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi Na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Mh Dr Jakaya Kikwete

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi
Mh Abdurahman Kinana

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Morogoro Na Mbunge Wa Morogoro Kusini

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Morogoro Na Mbunge Wa Morogoro Kusini
Mh Innocent Kalogeris

Katibu wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Morogoro

Katibu wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Morogoro
Mh Romuli John

Kumbukumbu la Blogu

Machapisho Maarufu

  • MZUMBE WATAKA MITANDAO YA KIJAMII ITUMIKE KUJIFUNZIA SIO BURUDANI PEKEE
    WANAFUNZI   wa vyuo   vikuu wametakiwa kutumia mitandao ya kijamii kwaajili ya   kujifunza masuala mbalimbali yanayohusu masomo yao...
  • Radio One yamfagilia Dk. Asha-Rose Migiro kwa kukienzi Kiswahili.
      Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa, Dk. Asha-Rose Migiro. DAR ES SALAAM, Tanzania Naibu Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja...
  • CCM WALIKATAA DARAJA LA RAU LILILOJENGWA NA MANISPAA YA MOSHI
    Katibu wa CCM wilaya ya Moshi, Aluu Segamba akiongoza viongozi wengine katika ziara ya kukagua miradi ya serikali ndani ya Manispa...
  • KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AZUNGUMZA NA WANANCHI KATA ZA UKWAMA NA INIHO MAKETE
      Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa kata ya Iniho Wilayani Makete wakati alipotembelea ...
  • WAOMBA KUJENGEWA DARAJA GAIRO
    WANANCHI wa Kijiji cha Madege kata ya Chakwale wilaya    ya Gairo Mkoani Morogoro Wameiomba Serikali kuwajenga daraja la Mto Kibedia ili...
  • TASWIRA KUTOKA MOROGORO
    Katibu wa CCM Mkoa wa Morogoro Mh Romuli John Akiwa na mshauri wa mgambo katika moja ya majukumu yao ya kila siku
  • DIAMOND TRUST BANK WAZINDUA TAWI JIPYA MOROGORO
    Mkuu wa Mkoa wa Morogoro Mh Dk Joel Bendera akikata Utepe kuashiria kuzindua Tawi la Bank ya Diamond Trust Mjini Morogoro Kulia ni Meya ...
  • MANISPAA MORO YATEKELEZA ILANI YA CCM KWA ASILIMI 90
    MEYA wa manispaa ya Morogoro Amiri Nondo amesema kuwa manispaa hiyo imefanikiwa kutekelza ilani ya uchaguzi ya chama cha ...
  • WAZIRI MKUU MH. PINDA ASEMA JESHI LA POLISI LITIWE MOYO
     Na Magreth Kinabo – Maelezo WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amelipongeza Jeshi la Polisi nchini katokana  na juhudi mbalimbali linalozi...
  • HOTUBA YA MHESHIMIWA MIZENGO P. PINDA (MB), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI WA KUHITIMISHA SHUGHULI ZA MKUTANO WA 14 WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA 21, DESEMBA2013
    I:          UTANGULIZI  a)            Masuala ya Jumla Mheshimiwa Spika, 1.              Ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu mw...

Orodha Yangu ya Blogu

  • JIACHIE
    RAIS WA BURUNDI AMFARI RAIS SAMIA - Rais wa Jamhuri ya Burundi, Mhe. Evariste Ndayishimiye, akimfariji Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, nyumbani kwa...
    Wiki 1 iliyopita
  • CCM Blog
    TANZANIA BLOGGERS NETWORK YAUNGANA NA PSSSF KUONGEZA ELIMU YA HIFADHI YA JAMII KIDIJITALI - • *Msimbe: Mafanikio ya Taifa yasizidiwe na habari za udaku* Mtandao wa Wanablogu Tanzania (TBN) umetangaza mpango mkakati wa kutumia nguvu ya majukwaa y...
    Wiki 1 iliyopita
  • JUMA MTANDA
    MAISHA YA MWANASOKA HODARI, PELE NA MAISHA NJE YA SOKA YANASIKITISHA ! - Na Geofrey Chambua. Kwa watu wengi, Pele ni mchezaji bora zaidi kuwahi kushuhudiwa katika uwanja wa kandanda, na siyo bure kwamba walimpa jina la utani ka...
    Miaka 8 iliyopita
  • AUDIFACE JACKSON - OFFICIAL BLOG
    - *MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu kwenye ukum...
    Miaka 8 iliyopita
  • FULL SHANGWE BLOG
    Interrupt iPad 2 Auto-Sync - How many times have you wanted to plug your iPad into your computer to charge but you didn’t want to deal with the interruption that syncing causes to wh...
    Miaka 10 iliyopita
  • INNOCENT KALOGERIS
    CCM YAMTEUA RIDHIWAN KIKWETE KUWA MGOMBEA JIMBO LA CHALINZE - [image: cccm_7bdac.png]
    Miaka 12 iliyopita
  • Nkoromo Blog
    -

Wachangiaji

  • Unknown
  • ccmmorogoro
AJ IT DEVELOPMENT .CO.LTD. Mandhari ya Dirisha la Picha. Inaendeshwa na Blogger.