Kurasa
HOME
UVCCM
UWT
WAZAZI
WABUNGE
MAWASILANO
WAASISI/CCM
VIONGOZI MORO
Jumapili, 26 Mei 2013
MATUKIO YA PICHA KUTOKA BUNGENI DODOMA
Mbunge wa Nyamagana Mhe. Ezekia Wenje (CHADEMA), akichangia mjadala wa Hotuba ya Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini kwa mwaka wa Fedha 2013/2014 Bungeni leo.
Mbunge wa Geita Mhe. William Ngeleja (CCM) , akichangia mjadala wa Hotuba ya Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini kwa mwaka wa Fedha 2013/2014 Bungeni leo.
Wabunge wa Viti Maalumu CHADEMA, Mhe. Joyce Nkya(aliyekaa) na Mhe. Lucy Owenya (aliyesimama) wakizungumza jambo wakati wa kikao cha Bunge wakati wa mjadala wa Hotua ya Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini kwa mwaka wa fedha 2013/2014.
Mbunge wa Msalala Mhe. Ezekiel Maige (CCM), akichangia mjadala wa Hotuba ya Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini kwa mwaka wa Fedha 2013/2014 Bungeni leo.
Mbunge wa Muleba Kaskazini Mhe. Charles Mujage (CCM), akichangia mjadala wa Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini kwa mwaka wa Fedha 2013/2014 Bungeni leo.
Mbunge wa Longido mhe. Michael Laizer (CCM), akisikiliza kwa makini hoja zinazotolewa katika uchangiaji wa mjadala wa Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014.
Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Prof. Sospeter Muhongo (kushoto) akiwa na Manaibu wake mhe. Stephen Masele(katikati) na Mhe. George Simbachawene wakisikiliza hoja za wabunge katika mjadala wa Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini leo Bungeni. Juu ni Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makaazi Mhe prof. Anna Tibaijuka.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni