Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Rojas Romuli akiwa katika matembezi ya
mshikamano baada ya kupokea mbio za pikipiki katika eneo la Ruaha
mkoani Iringa na kuingia mkoani hapa leo Aprili 16 mwaka huu .

Matembezi ya pikipiki baada ya kupokelewa na kuwasili manispaa ya Morogoro.
Katibu
wa CCM mkoa wa Morogoro Rojas Romuli akipokea picha ya baba wa Taifa
Mwali Nyerere kutoka kwa katibu wa UVCCM mkoa wa Iringa Alawi
Aidali kama moja ya vifaa vya matembezi hayo.
Katibu huyo wa CCM mkoa wa Morogoro akiongea baada ya kupokea matembezi hayo.
Vijana wa mkoa wa Morogoro wakiwa katika mstari mmoja wakisubiri mapokezi hayo katika eneo la Ruaha Mbuyuni.
katibu huyo wa mkoa wa Morogoro akiunganisha mkono na katibu wa UVCCM mkoa wa iringa kama ishara ya kukabidhiana matembezi hayo
Viajana wa Uvccm wakiwa katika mapokezi hayo.
Mkuu wa mkoa wa Morogoro Dk Joel Bendera ambaye pia ni mjumbe wa
halmashauri kuu ya CCM ya mkoa wa Morogoro akivishwa skafu baada ya
kuwasili katika viwanja vya polyester Club Kihonda maghorofani ambapo
ndipo matembezi ya pikipiki yalipohitimishwa kwa mkoa wa Morogoro.
Katibu wa UVCCM mkoa wa Morogoro Nicodemas Tambo akiwa katika hitifaki
za kutambulisha na kukaribisha wazungumzaji mkutano wa hadhara
uliofanyika Kihonda Maghorofani baada ya kuhitimisha matembezi hayo kwa
mkoa wa Morogoro.
Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Rojas Romul ambaye pia mjumbe wa kamati
ya utekelezaji wa UVCCM mkoa akifyeka katika eneo la hospitali ya mkoa
wa Morogoro kama moja ya maadhimisho hayo.
Mwenyekiti wa UVCCM mkoa wa Morogoro Heriet Sutta akiwa katika harakati za kufanya usafi katika hospitali ya mkoa wa Morogoro kama moja ya maadhimisho ya kuhitimisha matembezi ya pikipiki kwa mkoa wa Morogoro.
katibu wa CCM mkoa akiwana Kinyoa wakiteta jambo na kiongozi wa CCm kata ya Maghorofani.
Naibu meya wa manispaa ya Morogoro Lidya Mbiaji akiteta jambo na
diwani wa kata ya Kiloka ambaye pia mjumbe wa kamati ya utekelezaji ya
mkoa wa Morogoro Robart Selasela wakati mkutano ukiendelea.
Viongozi wa CCM mkoa wakifutilia mkutano huo kwa makini sana
Mkuu wa mkoa wa Morogoro akiongea katika mkutano huo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni