Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Abdurahman Kinana akiwahutubia
wananchi wa Ifakara katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye stendi
kuu ya mabasi ya Ifakara ambapo amewahimiza viongozi wa chama cha
mapinduzi kuwatumikia wananchi bila kujali itikadi zao kwani huo ndiyo wajibu wa wa chama cha mapinduzi ambao ni kuisimamia Serikali ya CCM ambayo wananchi wameipa ridhaa ya kuongoza nchi kwa kuwa wana imani na chama cha mapinduzi CCM .
Mwanahawa
Shabaan Mwenyekiti wa kikundi cha SACCOS cha Mhola Ifakara akitoa
maelezo kwa Katibu wa NEC Oganizesheni Ndugu Mohammed Seif Khatib
wakati alipokagua jengo la kikundi hicho leo mjini Ifakara
Mwanahawa Shabaan Mwenyekiti wa kikundi cha SACCOS cha Mhola
Katibu Mkuu wa CCM Abduramhani Kinana akisalimiana na wananchi waliojitokeza kumpokea katika kivuko vha Mto Kilombero
Akina mama wajasiriamali wakicheza ngoma wakati wa mapokezi ya Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdurahman Kinana
Katibu wa NEC Oganizesheeif Khatibuni Dk Mohamed akipandisha Bendera wakati alipozindua moja ya tawi la tawi
Katibu Mkuu wa Chama cNnauyeha Mapinduzi akiongozana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro kwenda kupanda magari
Wajumbe wa mashina Mbalimbali wakiwa katika mkutano wa ndani .
Umati wa watu waliohudhuria katika mkutano huo mjini M0r0g0ro
Ndugu
Abdurahman Kinana na na Katibu wa NEC Itikadi na uenezi Nape
Nnauyewakigawa kadi kwa wananchama wapya ambao wamejiunga na CCM.
Haya
ni majengo yanayojegwa kwa ajili ya kambi ya mafundi na wataalamu
wanaofanya kazi ya kujenga Daraja la Mto Kilombero ambalo loinaendelea
kujengwa jijini Dar . John Bukuku
Katibu
Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdurahman Kinana akimfariji Gabriel
Mtoto wa Marehemu Mwalimu Osward Ngokonjela wakati alipotembelea na
kuhani msiba huo
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni