Jumatatu, 29 Aprili 2013

Rais Dk. Shein azindua Kikwajuni Saccos Bank

Mbunge wa Kikwajuni, Hamad Yusuf Masauni (kulia), akizungumza na aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Paramukh Sing Hoogan wakati wa uzinduzi wa Kikwajuni Saccos Bank (KSB), hafla iliyofanyika jimboni humo wiki iliyopita. DSC_4529 
bunge wa Kikwajuni, Hamad Yusuf Masauni akisalimiana na Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein wakati uzinduzi wa Kikwajuni Saccos Bank, hafla iliyofanyika jimboni humo wiki iliyopita. DSC_4549 
Rais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein mara baada ya uzinduzi wa Saccos hiyo. DSC_4578 
Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein akizungumza mara baada ya uzinduzi huo. DSC_4617 
Mbunge wa Kikwajuni (CCM), Hamad Yusuf Masauni (katikati), akiomba dua na makada wengine wa chama hicho wakati wa uzinduzi huo. DSC_4623 
Mbunge wa Kikwajuni, Hamad Yusuf Masauni akipongezwa na Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein baada ya kufanikisha huanzishwaji wa Saccos hiyo. DSC_4726 
Mbunge wa Kikwajuni, Hamad Yusuf Masauni akiteta jambo  na Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein wakati uzinduzi wa Kikwajuni Saccos Bank, hafla iliyofanyika jimboni humo wiki iliyopita.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...