| Tmk wanaume Family nao walikuwepo......wakiongozwa Chege Chigunda.... |
| Qboy akiset Mipango kabla ya Rais wa wasafi kupanda kukiwasha stejini... |
| Dancers wa wasafi wakifurahi jambo kwa pamoja....!! |
| Si ndo zamu ya Wasafi ikafika kukinukisha Stejini..... |
| Bahada ya Diamond Kupanda steji ilikuwa haitoshi...... |
| Mpera Mpera kama kawaida yake iwe usiku au mchana mwendo ule ule... |
| Yaniii......hadi raha ni step kwa step....kukonga nyoyo za mashabiki.... na wanachama wa ccm.. |
| kwa kuringa ringa ndio wanadata.... |
|
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni