Jumapili, 21 Aprili 2013

TASWIRA YA ZIARA YA KINANA MOROGORO MJINI

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na wajumbe wa nyumba kumi wa CCM wilaya ya Morogoro mjini, akiwa pamoja na kulia ni Mbunge wa Morogoro mjini Mohammed Aziz Abood, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, Katibu wa CCM wilaya ya Moro mjini  Fukiri Juma na kulia (kushoto wa pili) Mwenyekiti wa CCM morogoro Mh Innocent Karogelesi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...