Jumamosi, 4 Mei 2013

Semina ya majadiliano kwa manufaa ya wote yafanyika mkoani Singida.



Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone akifungua semina ya siku moja ya majadiliano kwa manufaa kwa wote iliyofanyika mjini Singida.
Baadhi ya washiriki wa semina ya ‘majadiliano kwa manufaa ya wote wakifuatilia kwa makini majadiliano hayo.
Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Dk.Rehema Nchimbi (anayesoma kabrasha) akishiriki semina ya majadiliano kwa manufaa ya wote iliyofanyika mjini Singida. Aanayeangalia kamera ni kamanda wa jeshi la polisi mkoa wa Dodoma.
Mchungaji wa kanisa la injili Afrika (Africa Gospel Church) mkoa wa Tabora akiwasilisha maoni ya viongozi wa madhehebu ya dini yanayoiomba serikali kuwashirikisha katika masuala yote ya maendeleo ya wananchi kwa madai uwezo wa kuhamasisha wananchi wano Maoni hayo aliyatoa kwenye semina ya siku moja ya ‘majadiliano kwa mafuaa ya wote’, aliyoandaliwa na baraza la biashara.(Picha zote na Nathaniel Limu).

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...