Kurasa
HOME
UVCCM
UWT
WAZAZI
WABUNGE
MAWASILANO
WAASISI/CCM
VIONGOZI MORO
Ijumaa, 7 Juni 2013
RAIS KIKWETE AENDELEA NA ZIARA YAKE YA KIKAZI NCHINI SINGAPORE
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia katika mkutano wa kwanza wa ushirikiano wa kibiashara kati ya Tanzania na Singapore ulioandaliwa jana Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore
(PICHA NA IKULU)
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na wawekezaji wa Singapore leo Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore.
Rais jakaya Kikwete akitoka ukumbini mara baada ya kukutana na wawekezaji na kuzungumza nao.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete za ujumbe wake wakitembezwa kuangalia bandari ya Singapore
Rais Jakaya Mrisho Kikwete za ujumbe wake wakitembezwa kuangalia bandari ya Singapore
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisoma kitabu alichopewa na Wakurugenzi wa NEWater plant baada ya kutembelea mitambo yao ambayo inatoa huduma ya maji masafi kwa nchi ya Singapore baada ya kuyachuja na kuyasafisha kutoka vyanzo mbalimbali ikiwa ni pamoja na baharini, maji ya mvua na maji taka.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitambulishwa kwa baadhi ya Watanzania Waishio Singapore alipokutana nao jana Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Watanzania Waishio Singapore alipokutana nao leo Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha ya kumbukumbu na Watanzania Waishio Singapore alipokutana nao jana Juni 5, 2013 katika hoteli ya Swissotel jijini Singapore. Kulia ni balozi wa Tanzania nchini Singapore Injinia John Kijazi
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini katika kitabu cha wageni baada ya kuwasili katika Istana (Ikulu ya Rais) jana Juni 5, 2013 huku mwenyeji wake Rais wa Singapore Dkt Tony Keng Yam akiwa pembeni yake baada ya kumlaki.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na mwenyeji wake Rais wa Singapore Dkt Tony Keng Yam alipokutana naye katka Istana (Ikulu) ya Singapore jana Juni 5, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na mwenyeji wake Rais wa Singapore Dkt Tony Keng Yam alipokutana naye katka Istana (Ikulu) ya Singapore jana Juni 5, 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na mwenyeji wake Rais wa Singapore Dkt Tony Keng Yam alipokutana naye katka Istana (Ikulu) ya Singapore jana Juni 5, 2013
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni