IMG_0275
Mke wa Waziri  Mkuu, Mama Tunu Pinda akisalimiana na wanawake wa Makambako baada ya kuwasili kwenye  mji mdogo huo akiambatana na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 10,2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0313
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu  (wapili kulia) wakikagua shamba la nanasi la Katibu Mkuu kiongozi Mstaafu, Philemon Luhanjo (kulia) katika kijiji cha Madeke wilayani Makambako wakiwa katika ziara ya Mkoa wa Njombe.
IMG_0336
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mkewe Tunu wakikagua shamba la nanasi la Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Philemon Luhanjo (kulia) katika kijiji cha Madeke wilayani Makambako wakiwa katika ziara ya Mkoa wa Njombe.
IMG_0352
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akivuna nanasi katika shamba la Katibu Mkuu Mstaafu, Philemon Luhanjo  (katikati) lililopo  katika kijiji cha  Madeke wilayani Makambako akiwa katika ziara ya mkoa wa Njombe Julai 10,2013. Kulia kwake ni mkewe Tunu.
IMG_0364
IMG_0415
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiweka  jiwe la  msingi la kiwanda cha kusindika mananasi katika kijiji cha Madeke wilayani Makambako akiwa  katika ziara ya mkoa wa Njombe. Kulia ni Mkewe Tunu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).