Ijumaa, 10 Januari 2014

MWENYEKITI CCM MKOA WA MOROGORO AMLAMU SPIKA BUNGE KUMTEUA SENDEKA TUME YA MIGOGORO YA WAFUGAJI NA WAKULIMA

 Mwenyekiti wa ccm Mkoa wa Morogoro Inocent Karogeries Akizungumza katika mkutano wa kamati ya ushauri ya mkoa wa Morogoro RCC juu ya tatizo la migogoro ya wakulima na wafugaji mkoa wa MorogoroJanuari 10 mwaka huu, mjini hapa
Mmoja wa watoa mada katika mkutano huo akiwasilisha bajeti ya mkoa wa Morogoro kwa mwaka 2014.
 Mbunge wa jimbo la Morogoro Azizi Abood akisoma kitabu cha bajeti ya mkoa wa Morogoro katika kikao hicho.

 Viongozi wa wilaya ya Mvomero wakifutilia kwa makini mkutano huo
 Mkuu wa wilaya ya Kilombero Hasani Masala akiongea katika mkutano huo .
 Mkuu wa wilaya ya Morogoro Said Amanzi akizungumzia hoja ya wakulima kuonewa na wafugaji na kulaumu wabunge wa Morogoro walinyamaza kimya katika kikao cha bunge.
 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...