Jumatatu, 10 Februari 2014

BREAKING NEWS:MAGARI ZAIDI YA 3000 YAKWAMA ENEO LA HEDARU BAADA YA MVUA KUBWA KUNYESHA NA KUZUIA BARABARA 1

Hii ndio hali halisi inavyoonekana malori yakiwa yamekwama katikati ya barabara
 Baadhi ya wasafiri waliokwama wakiangalia greda inayojaribu kutengeneza njia ili waweze kupita.
 Wasafiri wakiwa wamekwama eneo la hedaru


 Maroli na mabasi yakiwa kwenye foleni baada ya njia kuzibwa na mafuriko ya maji..BOFYA HAPA KUANGALIA PICHA ZAIDI

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...