Jumatatu, 17 Februari 2014

KIKAO CHA WABUNGE NA WAWAIKILISHI WA CCM DODOMA

TA1A4158Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk.Jakaya Mrisho Kikwete (katikati)Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) Katibu Mkuu wa CCM Taifa Abrahman Kinana,(kulia) Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda,(wa pili kushoto) na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi,(kushoto) wakiwa katika Mkutano wa siku moja wa Wabunge na Wawakilishi wa CCM katika ukumbi wa White House Mjini Dodoma.[Picha na Ramadhan Othman,Dodoma.]TA1A4173(1)TA1A4173Baadhi ya wabunge na wawakilishi wa Chama cha Mapinduzi CCM wakiwa katika mkutano uliofunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk.Jakaya Mrisho Kikwete katika ukumbi wa White House Mjini Dodoma leo,[Picha na Ramadhan Othman,DodomaTA1A4175
Waziri Mkuu wa Tanzania Mizengo Pinda,(kulia) ambae ni Mwenyekiti wa kikao cha wabunge na wawakiishi wa CCM alipokuwa akitoa taarifa za kikao hicho mbale ya mgeni rasmi Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM Taifa Dk.Jakaya Mrisho Kikwete,(hayupo pichani) katika ukumbi wa White house Makao Makuu ya CCM Dodoma leo asubuhi. [Picha na Ramadhan Othman,Dodoma.]

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...