Jumanne, 30 Aprili 2013

ZIARA YA MAKAMO MWENYEKITI WA (CCM) DK.ALI MOHAMED SHEIN WILAYA KATI UNGUJA

  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akivalishwa shada la mauwa na kijana Chipukizi wa CCM Cleopatra  Saidi Omarn wa Dunga Wilaya ya kati alipoanza ziara ya Chama cha Mapinduzi katika wilaya hiyo leo.[Picha na Ramadhan

Othman,Ikulu.]
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akisalimiana na Viongozi wa CCM Mkoa wa Kusini
Unguja.alipowasili Dunga Ofisi Kuu ya Cahama Wilaya ya kati akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja
leo.
  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akipokea Taarifa ya kazi za Chama Wilaya ya kati Unguja kutoka kwa Katibu wa CCM Wilaya Zainab Shomari,alipowasili Ofisi Kuu ya Chama Wilaya Unguja huko Dunga alipoanza ziara ya kuimarisha Chama cha CCM katika Mkoa wa Kusini Unguja leo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...