Jumanne, 30 Aprili 2013

SHEIN AZINDUA MASHINA NA KUPOKEA WANACHAMA WAPYA UNGUJA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akifungua pazia kuweka jiwe la msingi jengo la Afisi ya CCM Wadi ya Jumbi,Jimbo la Koani Wilaya ya kati Unguja katika ziara za
kuimarisha Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja.

 Makamo  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi Kadi Mwanachama mpya wa CCM Zawadi Ibrahim,katika sherehe ya uwekaji wa jiwe la msingi,  jengo la Afisi ya CCM Wadi ya Jumbi,Jimbo la Koani Wilaya ya Kati Unguja katika ziara za kuimarisha Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja.

 Makamo  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi Kadi Mwanachama mpya wa CCM Uledi Maulid,katika sherehe ya uwekaji wa jiwe la msingi,  jengo la Afisi ya CCM Wadi ya Jumbi,Jimbo la Koani Wilaya ya Kati Unguja katika ziara za kuimarisha Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja.

  Wanachama wapya wa Chama cha Mapinduzi na Jumuiya zake wakila kiapo cha Utii baada ya kukabidhiwa kadi zao na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,Jimbo la Koani Wilaya ya Kati Unguja katika ziara za kuimarisha Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja.

 Makamo  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pamoja na viongozi wengine wakisikiliza Risala ya wanachama Tawi nla Mchangani,iliyosomwa na Katibu Mwenezi Salum Hussein Khamis, baada ya kuweka jiwe la msingi akiwa  katika ziara za kuimarisha Chama Cha
Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja.

Makamo  Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akimkabidhi Boxi lenye bomba la Kumwagilia dawa Mkulima Docta Kisinja Lubasha,katika sherehe ya uwekaji wa jiwe la msingi,  Tawi la CCM Mchangani Jimbo la Uzini,Wilaya ya Kati katika ziara za kuimarisha Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...