Jumamosi, 15 Juni 2013

RAIS WA ZANZIBAR DK ALI MOHD SHEIN AFUNGUA TAMASHA LA URITHI WA UTAMADUNI LA WATU WA MANGAPWANI ZANZIBAR

DSC_0574Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akiangalia Picha zilizochorwa kwa Ustadi pamoja na mazulia katika moja ya mabanda yaliokuwepo  katika  Ufunguzi wa Tamasha la Urithi  wa kiutamaduni wa watu wa Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini “B”Unguja.DSC_0604Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein wapili kushoto akichangia Upatu wa Maridadi ambao hutolewa baada ya Mwana kuolewa na watu kunywa chai(Kombela Bwana Harusi) katika  Ufunguzi wa Tamasha la Urithi  wa kiutamaduni wa watu wa Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini “B”Unguja.DSC_0619Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ali Hassan Mwinyi akitoa hotuba ya makaribisho katika  Ufunguzi wa Tamasha la Urithi  wa kiutamaduni wa watu wa Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini “B”Unguja.kushoto yake ni Waziri wa Habari Utamaduni Utalii na Michezo Said Ali Mbarouk.DSC_0630Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Tamasha la Urithi  wa kiutamaduni wa watu wa Mangapwani Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini “B”Unguja.
DSC_0655Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akisalimiana na Mzee Issa Suleiman Issa katika nyumba ya kiasili iliojengwa kwa makuti ya Kumba ikiwa ni ishara ya Ufunguzi wa Tamasha la Urithi la watu wa Mangapwani  Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Kaskazini “B”Unguja.
 PICHA ZOTE NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...