Kurasa
HOME
UVCCM
UWT
WAZAZI
WABUNGE
MAWASILANO
WAASISI/CCM
VIONGOZI MORO
Alhamisi, 13 Juni 2013
TTCL ILIVYOSHIRIKI MAONESHO KATIKA VIWANJA VYA BUNGE MJINI DODOMA
Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu Sera Uratibu na Bunge Mhe. William Lukuvi akipata maelezo kutoka wa Josephine Mwakapugi kuhusu huduma zipatikanazo katika simu za kiganjani za TTCL “SMART PHONE”
pamoja na punguzo kubwa la bei ya Intarnet kwa simu zenye waya na zisizotumia waya “wireless”.
Waheshimiwa wabunge wakipata maelezo kuhusu mkongo wa taifa wa mawasiliano.
m
Naibu waziri wa Nishati na madini Mheshimiwa Steven Masele akiweka saini katika kitabu cha wageni baada ya kupata maelezo kuhusu huduma mbalimbali zitolewazo na TTCL.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni