Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Kikwete akimsikiliza Afisa Biashara wa Mkongo wa Taifa Bw. Thomas Lemunge wakati alipotembelea banda hilo.
Baadhi ya wafanyakazi wa TTCL wakati wa Ufunguzi rasmi wa maonesho ya 37 .
Mfalme Mswati III na Waziri Mkuu mhe. Mizengo Pinda wakimsikiliza kwa makini Mkuu wa Idara ya Huduma na Bidhaa zitolewazo na TTCL Bw. Ernest Isaya wakati walipotembelea katika banda hilo.
Meya wa Manispaa ya Ilala Mhe. Jerry Silaa akisaini kitabu cha wageni baada ya kupata maelezo ya kina kuhusu Mkongo wa Taifa unavyosaidia kurahisisha biashara kwa njia ya mtandao, elimu-mtandao, matibabu-mtandao pamoja na kuunganisha n.k
wateja wakipata maelezo kuhusu huduma ya ziada wanazoweza kupata kupitia simu za mkononi za TTCL ikiwa ni pamoja na huduma ya ‘teleconference’ ambapo mteja ana uwezo wa kuongea na watu zaidi ya watano kwa wakati mmoja ( kufanya mkutano kwa njia ya simu )n.k.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni