Jumatatu, 22 Julai 2013

WAISLAMU MKOA WA KUSINI PEMBA WAFUTARISHWA NA RAIS DK.SHEIN

IMG_8116Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dkj.Ali Mohamed Shein,akimkaribisha tende Mufti wa
Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kaabi,wakati wa futari aliyowaandalia Wananchi na Waislamu wa Mkoa wa Kusini Pemba jana katika viwanja vya Ikulu ndogo ya Chake chake.{PichanaRamadhanOthman,Pemba.}
IMG_8120Baadhi ya Wananchi na waumini wa Dini ya Kiislamu wa  Mkoa wa Kusini Pemba wakiwa katika chakula cha futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,katika viwanja vya Ikulu ya Chakechake Pemba jana.{Picha na Ramadhan Othman,Pemba.}
IMG_8123 Baadhi ya Wananchi na waumini wa Dini ya Kiislamu wa Mkoa wa Kusini Pemba wakiwa katika chakula cha futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,katika viwanja vya Ikulu ya Chakechake Pemba jana. {Pichana Ramadhan Othman,Pemba.]
IMG_8127Baadhi ya akina mama wa Mkoa wa Kusini Pemba wakiwa katika chakula cha Futari katika Mwezi mtukufu wa
Ramadhan,iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,katika ukumbi wa Ikulu ndogo ya Chakechake Pemba jana.[Picha na Ramadhan Othman,Pemba.]
IMG_8130 Mke wa rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,(katikati) akijumuika na Wanawake wa Mkoa wa Kusini Pemba katika futari aliyowaalika jana katika ukumbi wa Ikulu ndogo ya Chakechake (kulia) Mkuu wa wilaya ya Chake chake Mwanajuma Majid.[Picha na Ramadhan Othman,Pemba.}
IMG_8144Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba,Juma Kassim Tindwa,akitoa shukurani kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ALhaj Dk.Ali Mohamed Shein,kwa niaba ya wananchi wa Mkoa wake baada ya chakula cha Futari alkiyowaandalia katika viwanja vya Ikulu ya Chakechake Pemba jana.{Pichana Ramadhan Othman,Pemba.}
IMG_8163Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,(kushoto) akiagana na Wananchi mbali mbali wa Mkoa wa Kusini Pemba jana baada ya Chakula cha Futari aliyowaandalia katika viwanja vya Ikulu ya Chakechake Pemba. {Picha na Ramadhan Othman,Pemba.]

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...