Ijumaa, 19 Aprili 2013

MKUTANO WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) GAIRO MOROGORO WATIKISA

Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana  akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara jioni hii kwenye uwanja wa shule ya msingi Gairo B, Gairo, mkoani Morogoro. (Picha na Bashir Nkoromo). 2.NAPE AKIHUTUBIA 
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye  akihutubia mkutano wa hadhara wa CCM kwenye  uwanja a shule ya Msingi Gairo B, mjini Gairo mkoani Morogoro jioni hii.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...