Jumapili, 2 Juni 2013

KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AZUNGUMZA NA WANANCHI KATA ZA UKWAMA NA INIHO MAKETE

1 
Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa kata ya Iniho Wilayani Makete wakati alipotembelea kata hiyo katika ziara yake ya mkoa wa Njombe leo, Kinana yuko mkoani Njombe kwa ajili ya shughuli za kuimarisha chama na kukagua miradi ya maendeleo katika kusimamia serikali ili kutekeleza ilani ya chama hicho na kuwahimiza wananchi kushiriki katika shughuli za maendeleo.PICHA NA KIKOSIKAZI CHA FULLSHANGWE-MAKETE6 
Naibu Waziri wa Maji na mbunge wa jimbo la Makete Injinia , Dk. Bilinith Mahenge akiwahutubia wananchi wa kata ya Iniho wakati wa mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye kata hio wakati Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana alipotembelea kata hiyo8 
Mkuu wa Wilaya ya Makete Bi. Josephine Matiro akizungumza na wananchi kuelezea jinsi serikali inavyotekeleza miradi ya maendeleo katika wilaya hiyo.9Wananchi wa Kata ya Iniho wakiwa katika mkutano huo
10 
Kikundi cha ngoma kikicheza ngoma ya asili ya kinyakyusa inayoitwa Ing’oma.17 
Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi CCM Ndugu Nape Nnauye akiteta jambo na Mzee Pascal Sangamjumbe wa shina la Singida  katika kata ya Tandala Wilayani Makete wakati katibu mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana alipotembelea katika kata hiyo leo18 
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana akizungumza na wanachama wa chama cha mapinduazi katika shina la Singida kata ya Tandala wakati alipotembelea katika kata hiyo leo19 
Mzee Pascal Sanga Mwenyekiti  wa shina la Posta  katika kata ya Tandala Wilayani Makete akifungua kikao hicho baada ya Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana na ujumbe wake kutembelea tawi hilo.22 
Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana na ujumbe wake akiongozana na Mkuu wa Wilaya ya Makete Bi. Josephine Matiro kutembelea tawi la Singida kushoto ni Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Makete Francis Chaula3 
Katibu wa Itikadi, Siasa na Uenezi CCM Ndugu Nape Nnauye  akiwahutubia wananchi katika kata ya Iniho Wilayani Makete.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...