
Dk.Ali Mohamed Shein.akisalimiana na Padri wa Kanisa Katoliki la
Minara miwili Mjini Zanzibar Cosmas Amani Shayo, alipowasili katika
eneo la Mazishi ya Marehemu Balozi Issac Abraham Sepetu,yaliyofanyika
kijijini kwao Mbuzini Wilaya ya Magharibi Unguja jana.[Picha na
Ramadhan Othman Ikulu.]

Dk.Ali Mohamed Shein,akiwa na viongozi wengine akiwemo Makamo wa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania DK.Mohamed Gharib Bilali,katika
Mazishi ya Marehemu Balozi Issac Abraham Sepetu,yaliyofanyika kijijini
kwao Mbuzini Wilaya ya Magharibi Unguja jana.[Picha na Ramadhan Othman
Ikulu.]

limebebwa na Askari Polisi na kulifikisha katika kaburi lake
yalipofanyika mazishi kijijini kwao Mbuzini Wilaya ya Magharibi
Unguja jana.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]

Zanzibar Cosmas Amani Shayo, akiuombea mwili wa marehemu Balozi Issac
Abraham Sepetu,wakati wa mazishi yake yaliyofanyika kijijini kwao
Mbuzini Wilaya ya Magharibi Unguja jana.[Picha na Ramadhan Othman
Ikulu.]

Sepetu,ukitemshwa katika kaburi wakati wa mazishi yake yaliyofanyika
kijijini kwao Mbuzini Wilaya ya Magharibi Unguja jana.[Picha na
Ramadhan Othman Ikulu.]
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni