Jumanne, 12 Novemba 2013

ANGALIA PICHA ZA ZIARA YA MWENYEKITI WA UV CCM MKOA WA MOROGORO ALIYOIFANYA MOROGORO VIJIJINI

 Chipukizi wa chama cha mapinduzi wakiimba nyimbo katika ziara ya mwenyekiti wa UV CCM Mh Heriety Suta aliyoifanya morogoro vijijini juzi.


 Mwenyekiti wa UV CCM Morogoro Mh Heriety Suta  akipokea zawadi wakati wa ziara yake aliyoifanya juzi.
 Mwenyekiti wa UV CCM Morogoro Mh Heriety Suta Akifungua tawi katika ziara yake



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...