Alhamisi, 20 Februari 2014

MANISPAA MORO YASAINI MKATABA WA KUTENGENEZA BARABARA ZA RAMI


MANISPAA MORO YATIA SAINI MKATABA WA MABILIONI YA FEDHA UKARABATI WA BARABARA KWA KIWANGO CHA RAMI

 Meya wa manispaa ya Morogoro Amiri Nondo akitia saini mkataba ukarabati wa barabara za Mlapako, Kingo, Kitope na Nguzo katika manispaa hiyo
 Meya huyo  akitia saini mikataba hiyo katika eneo la Barabara ya kitope maarufu kama Shani sinema.
 Meya Nondo akitia saini mkataba wa barabara ya Kingo kata ya Sabasaba  katika manispaa ya Morogoro
 Hapo utiliaji wa saini ukiendelea.
 
Meya huyo akikabidhi mkataba kwa mkandarasi wa kampuni ya C.G.I ya Morogoro.
 Jamani mkafanya kazi vizuri kwa uaminifu, ni maneno ya meya wakati akikabidhi mkataba wa ukuarabati wa barabara hizo kwa mmoja wa wakandarasi hao
 Meya huyo akikata utepe katika barabara ya Kitope kama ishara ya kuzindua ujezni huo
 meya huyo akiwa na viongozi wa manispaa katika eneo la Uruguru
 Hali ilivyo sasa katika barabra ya Kitope ambayo itaanza kukarabatiwa hivi karibuni
 Meya huyo akielezea jinsi mikataba hiyo inavyotakiwa kuanza na kumalizika kwa wakati

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...