Jumapili, 24 Novemba 2013

KIKOSI CHA MWENEZI WA CCM MKOA WA MORO NDANI YA TANGANYIKA

Katibu wa Siasa na uenezi mkoa wa Morogoro Doroth Mwamsiku akiwa na kikosi kazi chake mara baada ya kuwasili katika kijiji cha Tanganyika, ilikuwa ni ziara ya viongozi wa CCM mkoa Morogoro kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...