Jumapili, 24 Novemba 2013

KATIBU WA CCM MKOA WA MOROGORO AKIPOKEA MAELEZO KUTOKA KWA DAKTARI

Tunakagua Utekelezaji wa Ilani ya CCM. Hapa nikipokea maelezo kuhusu Zahanati ya kijiji cha Kisegese kata ya Idete wilayani Kilombero kutoka kwa mganga kiongozi wa Zahanayi hiyo Victoria Gowele.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...