Jumapili, 10 Novemba 2013

TASWIRA YA ZIARA YA MBUNGE WA MOROGORO MJINI

Viongozi wa Moro Mjini katika Mkutano wa Hadhara Viwanja vya "Fire" Kata ya Saba saba

Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini akikabidhi hundi ya sh. 1,750,000 kwa ajili ya mradi wa maji kwa wakazi wa mtaa wa mazimbu darajani kata ya mazimbu!Viva CCM!
Asante Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini Abdulaziz Abood kwa kutuchangia 1,750,000 kwa ajili ya mradi wa maji wananchi wa mtaa wa mazimbu darajani Kata ya Mazimbu!

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...