Jumapili, 24 Novemba 2013

VIONGOZI WA CCM MKOA WA MOROGORO WAKIKAGUA MRADI WA SKIMU YA MAJI KILOMBERO




Viongozi Chama Cha Mapinduzi CCM mkoa wa Morogoro wakikagua mradi wa skimu ya umwagiliajia katika eneo la Signali kata ya kiberege ambao umetumia  kiasi cha shilingi milioni 700 lakini hautumiki kutokana na kutokuwa na maji katika eneo hilo.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...