Jumapili, 22 Desemba 2013

TASWIRA YA SHEREHE YA KUANGWA KATIBU NA KUKARIBISHWA WA CCM MOROGORO VIJIJINI

 Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro na Mbunge wa Jimbo la morogoro kusini Mh Innocent Kalogeris Akiwa amesimama pamoja na aliyekuwa katibu wa ccm wilaya ya morogoro vijijini Mh Shemahuya aliyevaa suti nyeusi pamoja na katibu mpya wa Morogoro vijijini Mh Janet wa kwanza kulia katika sherehe fupi iliyoandaliwa kwajili ya kumwaga na kumkaribisha katibu mpya,


Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...