Katibu wa CCM mkoa wa Morogoro Rojas Romuli akivishwa skafu na chipukizi wa wilaya ya Morogoro mjini mara baada ya kuwasili katika ziara yake ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM.
Diwani wa kata ya Kingorwila Maria Kiamani akizungumza na katibuwa wa CCM mkoa wa Morogoro Rojas Romuli juu ya Madarasa ya MMEM yaliojengwa tangu mwaka 2006 na sasa hayana mwendelezo
VIONGOZI wa CCM mkoa wa Morogoro wakiangalia uharibifu wa mazingira unaofanywa na baadhi ya wananchi wa kata ya kingorwila wanaofyatua matofali bila kujali athari za uharibifu huo.
Katibu wa CCm mkoa wa Morogoro Rojas Romuli akitoka nje ya soko la Kingorwila mara baada ya kuangalia soko hilo ambalo limekamilika.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni