Jumapili, 2 Machi 2014

ACT YASHUSHA BENDERA ZA CHADEMA HUKO KIGOMA,WANACHAMA 3500 WA CHADEMA WAJIUNGA ACT

 
Chama cha Alliance For Change and Transparency Mkoa wa Kigoma,kimeshusha Bendera ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA tawi la Ujiji  stendi ya zamani na kupandisha bendera ya (ACT) wakati wa uzinduzi rasmi wa matawi sita katika manispaa ya kigoma ujiji.
 
 
 Akizungumza na wananchi wa eneo hilo, Katibu wa ACT Mkoa Athuman Kabogo alidai lengo la kushusha bendera hiyo ni hatua ya kukataa kugeuzwa kuwa vibaraka wa watu wengine kwa kukosa haki ya kuhoji na kuwania nyadhifa za chama hicho na


hivyo  kuanzisha  ACT kama chama cha  wanyonge kinachoweza kuwasikiliza na kutoa haki kwa kila mmoja.
 SOMA ZAIDI

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...