Jumanne, 11 Machi 2014

MANGULA AENDESHA SOMO LA KUIMALIZA CHADEMA SIKU YA KUPIGA KURA

Makamu Mwenyekiti wa CCM, Philip Mangula akionesha fomu ya mfano ya kupigia kura yenye picha za wagombea ubunge Jimbo la Kalenga wakati wa mkutano wa kampeni katika Kijiji cha Kalenga, Iringa Vijijini jana.Uchaguzi utafanyika Jumapili Machi 16, mwaka huu.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...