Alhamisi, 18 Aprili 2013

KATIBU MKUU WA CCM ABDURAHMAN KINANA AZUNGUMZA NA WANA KILOSA, AWASILI WILAYANI GAIRO

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdurahman Kinana kulia akizungumza na Mohamed Seif Khatib katikati na Mjumbe wa Katibu wa NEC Idara ya Oganizesheni na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Morogoro  INNOCENT KALOGERIS mara baada ya kuwasili Wilayani Gairo wakitokea Wilayani Kilosa ambako kabla ya kuondoka kulifanyika mkutano wa hadhara katika uwanja wa Kilosa Town mjini Kilosa pia ilifanyika  mikutano ya ndani ambapo Katibu Mkuu aliongea na viongozi wa mashina, Madiwani wenyeviti, wajumbe na waasisi wa chama hicho ikiwani pamoja na kufungua mashina katika kuimarisha chama na kukagua baadhi ya shughuli za maendeleo, kushoto ni Nape Nnauye Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi 6 
Kikundi cha  ngoma za asili ya kabila la Wapogolo kikicheza ngoma hiyo kabla ya kufanyika kwa mkutano wa hadhara katika uwanja wa Kilosa Town na kuhudhuriwa na wananchi mbalimbali pamoja na wafuasi wa chama hicho 5 
Kwaya ya CCM Kilosa ikiimba katika mkutano huo uliofanyika kwenye uwanja wa Kilosa Town leo. 4 
Viongozi mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi Wilayani Kilosa wakimsikiliza Ndugu Abdurahman Kinana wakati alipokutana nao leo katika mkutano wa ndani mjini Kilosa 10 

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...