Jumatano, 24 Aprili 2013

MKUTANO WA MAJUMUISHO YA ZIARA YA MAKAMO MWENYEKITI CCM ZANZIBAR

Wajumbe wa mkutano wa majumuisho ya Ziara ya  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiri wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,aliyoifanya katika Wilaya za Mjini na Amani,mkutano huo uliwajumuisha viongozi mbali mbali Halmashauri za Mikoa na Wilaya CCM,wakisikiliza kwa makini nasaha alizozitoa Makamo huyo katika ukumbi wa CCM Mkoa Amani jana,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]IMG_9758Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali
Vuai,akisisitiza jambo wakati wa Mkutano wa Majumuisho ya Ziara ya
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiri wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,aliyoifanya katika Wilaya
za Mjini na Amani,mkutano huo uliwajumuisha viongozi mbali mbali
Halmashauri za Mikoa na Wilaya CCM,katika ukumbi wa CCM Amani
jana.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_9761 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiri wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,alipokuwa akizungumza na Viongozi wa CCM Mkoa wa Mjini Unguja katika Mkutano wa majumuisho ya Ziara aliyoifanya katika kuimarisha Chama cha Mapinduzi nadani ya Mkoa iliyomalizika jana,katika Ukumbi wa CCM Mkoa Amani,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...