Alhamisi, 25 Aprili 2013

Rais Kikwete apokea hati za utambulisho Ikulu

Balozi mpya wa Hungary Sandoz Juhasz 
Balozi Moya wa Austria nchini Tanzania Christian Hasenbichler.
Balozi Mpya wa Chile nchini Tanzania Konrad Paulsen

Balozi Abdelilah Beryane wa Morocco
****
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo amepokea hati za utambulisho kutoka kwa mabalozi wanne wanaoziwakilisha nchi zao hapa.Walioziwasilisha hati zao ni pamoja na Balozi Mpya wa Morocco nchini Tanzania Mhe.Abdelilah Benryane, Balozi mpya wa Hungary Mhe.Sandoz Juhasz,Balozi mpya wa Austria Mhe. Christian Hasenbichler na Balozi Mpya wa Chille nchini Mhe.Konrad Paulsen.Pichani Balozi Mpya wa Morocco Mhe.Abdelilah Benryane akiwailisha hati zake za utambulisho kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi.(Picha na Freddy Maro).

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...