Jumatatu, 22 Aprili 2013

RAIS WA ZANZIBAR NA MAKAMO WA CCM ZANZIBA ,AANZA ZIARA YA CHAMA MJINI UNGUJA LEO.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akisalimiana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Borafya Silima Juma,alipowasili Ofisi ya Mkoa Amani,alipoanza ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi katika Mkoa huo leo,(katikati) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] 12 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akivalishwa Skafu na Kijana Chipukizi wa CCM Pili Hassan,miaka 10 Mkaazi wa Meli Nne,alipowasili katika Ofisi ya CCM Mkoa Amani,alipoanza ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi katika Mkoa huo leo,[Picha na Ramadhan

Othman,Ikulu.] 14Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akisalimiana
na Viongozi wa CCM alipowasili katika Ofisi ya CCM Mkoa
Amani,alipoanza ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi katika Mkoa
huo leo,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
15 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM alipowasili katika Ofisi ya CCM Mkoa Amani,alipoanza ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi katika Mkoa huo leo,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] 16 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ,akipata
maelezo kutoka kwa  Katibu wa Kamati ya Ujenzi Omar Saidi,wakati
alipotembelea Maskani Kaka ya Kisonge,iliyomwa moto na Watu
wasiojulikanwa akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi
Wilaya ya Mjini leo.[Picha  na Ramadhan Othman Ikulu.]
17 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,(katikati) akifuatana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,(kulia) pamoja na viongozi wengine baada ya kuitembelea Maskani Kaka ya Kisonge,iliyomwa moto na Watu wasiojulikanwa akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Mjini leo.[Picha  na Ramadhan Othman Ikulu.] 18Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar,akisalimiana na Viongozi wa CCM alipowasili kuitembelea
Maskani Kaka ya Kisonge,iliyomwa moto na Watu wasiojulikanwa akiwa
katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Mjini
leo.[Picha  na Ramadhan Othman Ikulu.]
19 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, alipokuwa akizungumza na Wananchi na wanachama wa CCM, Tawi la CCM Vikokotoni Mjini Unguja,alipokuwa katika ziara ya  kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Mjini leo.[Picha  na Ramadhan Othman Ikulu.] 21 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ,akifungua pazia kuweka jiwe la Msingi  Tawi la CCM Vikokotoni, alipokuwa katika ziara ya  kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Mjini leo, ).[Picha  na Ramadhan Othman Ikulu.] 22 
Wanachama wa CCM Tawi la Vikokotoni walipokuwa wakimshangilia      Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,alipokuwa akiliweka jiwe la msingi Tawi hilo leo,akiwa katika zara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] 23 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,alipokuwa akisalimiana na Viongozi wa Tawi la CCM Vikokotoni,alipofika kuweka jiwe la Msingi akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Mjini leo. [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...