Alhamisi, 25 Aprili 2013

ZIARA YA MAKAMO MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) Dk.ALI MOHAMED SHEIN ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akisalimiana na Viongozi baada ya kuwasili katika Ofisi ya Chama cha Mapinduzi Wilaya Mpya ya Mfenesini Mwera,alipofika Ofisi hapo kupata Taarifa ya kazi za Chama,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha CCM katika Mkoa wa Magharibi Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_9822Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akisikiliza
Taarifa ya kazi za Chama Wilaya Mpya ya Mfenesini Iliyosomwa na Katibu
wa CCM Wilaya Aziza Mapuri,alipowasili Ofisi Kuu ya Chama Wilaya
Magharibi Mwera,akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha CCM katika
Mkoa wa Magharibi Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_9837 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akifungua pazia kuweka jiwe la msingi Tawi la CCM Mwera Mtofaani leo alipokuwa katika ziara ya kuimarisha Chama Cha Mapinduzi Wilaya Mpya ya CCM Mfenesini Unguja,(wa pili kulia) Mwenyekiti wa Tawi hilo Iddi Sultani.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_9867 
Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM waliohudhuria katika sherehe za uwekaji wa Jiwe la Msingi Tawi la CCM Mwera Mtofaani leo,jiwe hilo liliwekwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiri wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,  alipokuwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi kwa Wilaya ya Mpya ya CCM Mfenesini Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] m IMG_9891 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akiweka udongo kama ishara ya uwekaji wa jiwe la msingi Ujenzi wa Tawi la CCM Mtoni Kidatu juu leo, alipokuwa katika ziara ya kuimarisha Chama Cha Mapinduzi Wilaya Mpya ya CCM Mfenesini Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_9936Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akifungua
pazia kuweka jiwe la msingi Maskani ya CCM ya Ali Hassan Mwinyi,Bububu
leo alipokuwa katika ziara ya kuimarisha Chama Cha Mapinduzi Wilaya
Mpya ya CCM Mfenesini Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_9945 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,alipokuwa akiwasalimia wanamaskani ya   CCM ya Ali Hassan Mwinyi,Bububu leo baada ya kuweka jiwe la msingi,alipokuwa katika ziara ya kuimarisha Chama Cha Mapinduzi Wilaya Mpya ya CCM Mfenesini Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_9969 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akipokea risala ya Tawi la CCM Kihinani leo,kutoka kwa Katibu wa UWT jimbo Rehema Haji Makame, baadaa ya kuweka jiwe la msingi Tawi hilo,alipokuwa katika ziara ya kuimarisha Chama Cha Mapinduzi Wilaya Mpya ya CCM Mfenesini Unguja.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]IMG_0069 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akimkabidhi kadi mwanachama mpya wa CCM Juma Bakari Ismal,wakati wa sherehe za kukabidhi kadi wanachama wapya katika Uwanja wa Skuli ya Chuini,alipokuwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi katika Wilaya Mpya ya Mfenesini Mkoa wa magharibi Unguja leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] IMG_0073 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akimkabidhi kadi mwanachama mpya wa CCM Amina Hassan Khamis,wakati wa sherehe za kukabidhi kadi wanachama wapya katika Uwanja wa Skuli ya Chuini,alipokuwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi katika Wilaya Mpya ya Mfenesini Mkoa wa magharibi Unguja leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...