ccmmorogoro

Kurasa

  • HOME
  • UVCCM
  • UWT
  • WAZAZI
  • WABUNGE
  • MAWASILANO
  • WAASISI/CCM
  • VIONGOZI MORO

Ijumaa, 17 Mei 2013

BALOZI ANAYESHUHULIKIA MASHIRIKIANO YA NCHI MBALIMBALI WA DENMARK AKUTANA NA DK SHEIN IKULU IMG_0654

IMG_0654 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi anayeshuhulikia
mashirikiano  ya nchi mbili wa Denmark Charlotte  Slente,alipofika
Ikulu Mjini Zanzibar leo mchana akiwa na ujumbe aliofuatana
nao,akiwemo Balozi wa Denmark  nchini Johnny Flento,(hayupo pichani)
[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_0663 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na  Balozi anayeshuhulikia
Mashirikiano  ya nchi mbili wa Denmark Charlotte  Slente,alipofika
Ikulu Mjini Zanzibar leo mchana akiwa na ujumbe aliofuatana
nao,akiwemo Balozi wa Denmark  nchini Johnny Flento,(kushoto) [Picha
na Ramadhan Othman,Ikulu.]
IMG_0676 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein,akifuatana na  Balozi anayeshuhulikia
mashirikiano  ya nchi mbili wa Denmark Charlotte  Slente,alipofika
Ikulu Mjini Zanzibar leo mchana baada ya mazungumzo yaliyofanyika
Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar leo, [Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Posted by ccmmorogoro at 14:44
Tuma Hii kwa Barua pepeBlogu Hii!Chapisha kwenye XShiriki kwenye FacebookShiriki kwenye Pinterest

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Chapisho Jipya Taarifa za zamani Nyumbani
Jisajili kwenye: Chapisha Maoni (Atom)
Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...

Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi Na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania

Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi Na Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania
Mh Dr Jakaya Kikwete

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi

Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi
Mh Abdurahman Kinana

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Morogoro Na Mbunge Wa Morogoro Kusini

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Morogoro Na Mbunge Wa Morogoro Kusini
Mh Innocent Kalogeris

Katibu wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Morogoro

Katibu wa Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Morogoro
Mh Romuli John

Kumbukumbu la Blogu

Machapisho Maarufu

  • mwigulu nchemba afunga mafunzo ya uvccm-ruvuma,apanda mbegu ya uzalendo
    Kwa ukakamavu kijana wa CCM akimvisha kitambaa Mh.Mwigulu nchemba mara baada ya kuwasili kwenye kambi ya mafunzo ya vijana wa CCM-Namtumbo ...
  • TASWIRA ZAIDI YA ZIARA YA KATIBU MKUU GAIRO
  • WAZIRI MKUU WA THAILAND AONDOKA BAADA YA KUHITIMISHA ZIARA YA SIKU TATU NCHINI
     Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimtambulisha Waziri Mkuu wa Thailand kwa maafisa waandamizi mbalimbali wa serikali wakati wa kumsindiki...
  • KATIBU MKUU WA CCM ABDULRAHMAN KINANA AZUNGUMZA NA WANANCHI KATA ZA UKWAMA NA INIHO MAKETE
      Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia wananchi wa kata ya Iniho Wilayani Makete wakati alipotembelea ...
  • WATOTO WA WAKIMBIZI WAMVAA WAZIRI WA ELIMU WA AFRIKA KUSINI MORO.
    Mkuu wa shirika lisilo la kiserikali  linalojishughulisha kuwezesha vijana kielimu na kiuchumi SOMAFCO , TLHOLO Mohlathe akimwonyesha N...
  • ILO na TACAIDS waendesha Kongamano la kujadili mikakati ya kuwawezesha Wanawake, Wasichana na Wavulana Kiuchumi katika harakati za kupunguza hali hatarishi za maambukizi ya Virusi vya Ukimwi nchini.
        Mkurugenzi wa Shirika la Kazi Kanda ya Afrika Mashariki nchini Tanzania (ILO) Bw. Alexio Musindo amesema kupitia msaada kutoka Se...
  • MGOGORO WA ARDHI WAZUKA TENA MVOMERO, VITISHO VYATAWALA , WANANCHI WAPORWA MASHAMBA NA KUPEWA VIGOGO
    Michael Mayalla mwenyekiti kitongoji cha Majichumvi akiongea katika mkutano wa pamoja na wananchi wa kitongoji hicho, waliokutana kuja...
  • GENERAL ELECTRIC AND SYMBION POWER TO HELP BOOST TANZANIA’S POWER SUPPLY
    ( 20th June, 2013 ):  General Electric and Sy mbion Power Tanzania Ltd. today signed a “Cooperation Agreement” with the objective of deve...
  • MKUTANO WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) GAIRO MOROGORO WATIKISA
      Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana  akihutubia mkutano mkubwa wa hadhara jioni hii kwenye uwanja wa shule ya msingi Gairo B, ...
  • Ban Ki Moon ampongeza Rais Kikwete kuhusu njia mpya ya kuleta amani DRC.
     Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa (UN) Mh. Ban Ki Moon akiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Jakaya Mrisho Kikwete. (Picha...

Orodha Yangu ya Blogu

  • JIACHIE
    Fukwe Chafu, Utalii Hatari: Serikali Yatoa Onyo kwa Wananchi - Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. UCHAFUZI wa mazingira ya bahari, unaochangiwa kwa kiasi kikubwa na utupaji holela wa taka ngumu hususan chupa za pla...
    Saa 2 zilizopita
  • CCM Blog
    MWALUNENGE APAMBANIA SEKTA YA KILIMO DIRA 2050 - Mbunge wa Mbeya Mjini, Patrick Mwalunenge pamoja na mambo mengine akielezea umuhimu wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2050 ambayo amedai ina mwanga mkubwa w...
    Saa 11 zilizopita
  • JUMA MTANDA
    MAISHA YA MWANASOKA HODARI, PELE NA MAISHA NJE YA SOKA YANASIKITISHA ! - Na Geofrey Chambua. Kwa watu wengi, Pele ni mchezaji bora zaidi kuwahi kushuhudiwa katika uwanja wa kandanda, na siyo bure kwamba walimpa jina la utani ka...
    Miaka 7 iliyopita
  • AUDIFACE JACKSON - OFFICIAL BLOG
    - *MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu kwenye ukum...
    Miaka 7 iliyopita
  • FULL SHANGWE BLOG
    Interrupt iPad 2 Auto-Sync - How many times have you wanted to plug your iPad into your computer to charge but you didn’t want to deal with the interruption that syncing causes to wh...
    Miaka 9 iliyopita
  • INNOCENT KALOGERIS
    CCM YAMTEUA RIDHIWAN KIKWETE KUWA MGOMBEA JIMBO LA CHALINZE - [image: cccm_7bdac.png]
    Miaka 11 iliyopita
  • Nkoromo Blog
    -

Wachangiaji

  • Jason
  • Unknown
  • ccmmorogoro
AJ IT DEVELOPMENT .CO.LTD. Mandhari ya Dirisha la Picha. Inaendeshwa na Blogger.