Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed
Shein,akifuatana na Balozi anayeshuhulikia mashirikiano ya nchi mbili
wa Denmark Charlotte Slente,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo mchana
baada ya mazungumzo yaliyofanyika Ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Balozi anayeshuhulikia mashirikiano ya nchi mbili wa Denmark Charlotte Slente,alipofika Ikulu
Mjini Zanzibar jana mchana akiwa na ujumbe aliofuatana nao,akiwemo
Balozi wa Denmark nchini Johnny Flento, (hayupo pichani)
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein,akizungumza na Balozi anayeshuhulikia Mashirikiano ya nchi mbili wa Denmark Charlotte Slente,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar jana mchana akiwa na ujumbe aliofuatana nao, akiwemo Balozi wa Denmark nchini Johnny Flento, (kushoto).Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu-Zanzibar
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni