

Flaviana Matata akiwasha mshumaa ikiwa ni ishara ya kuomboleza katika Makaburi ya Igoma Mwanza walikozikwa baadhi wananchi walopoteza maisha yao miaka 17 iliyopita.
Flaviana Matata akiwa ofisini kwa Bw. Projest Samson Kaija ambaye ni General Manager wa Marine Services Company ltd ambao hushirikiana nae kila mwaka katika maombolezo ya Ajali hii ambapo mwaka jana aliwapa msaada wa maboya ya kujiokoa
Flaviana Matata akiwa na marafiki na baadhi ya waombolezaji waliopoteza ndugu zao katika ajali hiyo. Picha na Shamim Mwasha
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni