Jumatano, 22 Mei 2013

MAMA SALMA AKUTANA NA DR JEROME PAULSON KUTOKA MAREKANI NA VIONGOZI WA CHAMA CHA MADAKTARI WA WATOTO NCHINI.

IMG_1486 
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akifanya mazungumzo na Daktari Bingwa wa Watoto Jerome Paulson kutoka Marekani na Viongozi wa Chama cha Madaktari wa Watoto hapa Tanzania kwenye ukumbi wa mikutano wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, tarehe 21.5.2013.
 PICHA NA JOHN LUKUWI

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...