Jumapili, 26 Mei 2013

MATUKIO YA PICHA KUTOKA BUNGENI DODOMA

1Mbunge wa Nyamagana Mhe. Ezekia Wenje (CHADEMA), akichangia mjadala wa Hotuba ya  Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini kwa mwaka wa Fedha 2013/2014 Bungeni leo.2Mbunge wa Geita Mhe. William Ngeleja (CCM) , akichangia mjadala wa Hotuba ya Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini kwa mwaka wa Fedha 2013/2014 Bungeni leo.3Wabunge wa Viti Maalumu CHADEMA, Mhe. Joyce Nkya(aliyekaa) na Mhe. Lucy Owenya (aliyesimama) wakizungumza jambo wakati wa kikao cha Bunge wakati wa mjadala wa Hotua ya Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini kwa mwaka wa fedha 2013/2014.4  Mbunge wa Msalala Mhe. Ezekiel  Maige (CCM),  akichangia mjadala wa Hotuba ya Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini kwa mwaka wa Fedha 2013/2014 Bungeni leo.5Mbunge wa Muleba Kaskazini  Mhe. Charles Mujage (CCM),  akichangia mjadala wa Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini kwa mwaka wa Fedha 2013/2014 Bungeni leo.6Mbunge wa Longido mhe. Michael Laizer (CCM), akisikiliza kwa makini hoja zinazotolewa katika uchangiaji wa mjadala wa Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini kwa Mwaka wa Fedha 2013/2014.7Waziri wa Nishati na Madini Mhe. Prof. Sospeter Muhongo (kushoto) akiwa na Manaibu wake  mhe. Stephen Masele(katikati)  na Mhe. George Simbachawene wakisikiliza hoja za wabunge katika mjadala wa Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Nishati na Madini leo Bungeni. Juu ni Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makaazi Mhe prof. Anna  Tibaijuka.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...