Polisi Morogoro Vs Yanga
Polisi Morogoro Vs Yanga katika uwanja wa Jamhuri Morogoro tarehe 30.03.2013. Matokeo yalikuwa Polisi 0 - Yanga 0. Hongereni Timu yetu ya Polis tumebakiza mechi moja ni muhimu tukashinda ili tuendelee kuufanya Mkoa wa Morogoro kuwa Mkoa wa soka. Mgeni wa Rasmi alikuwa Katibu wa CCM wa Mkoa wa Morogoro ndugu Sixtus Mapunda
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni