Jumapili, 2 Juni 2013

KINANA ATOA ONYO KWA VIONGOZI WASIOWAJIBIKA ,MKUTANO WAKE WATIKISA WENGI CHADEMA WAJIUNGA CCM ,KINANA NA NAPE WATOA MSAADA WA MAMILIONI YA KUANZISHA SACCOS....

Katibu mkuu  wa CCM Abdulahaman Kinana (kushoto) na katibu  wa idara  ya itikadi na uenezi wa CCM Taifa Ndugu Nape Nnauye  wakishiriki ujenzi  wa  zahanati ya  kijiji  cha Samaria  wilaya ya  Wanging'ombe  ,viongozi hao  walisimama eneo hilo kushiriki ujenzi  huo baada ya  kuwakuta  wananchi  wakishiriki maendeleo ya ujenzi  huo

msafara  wa katibu  mkuu  wa CCM


 katibu  wa itikadi na  uenezi  wa  CCM Taifa Nape Nnauye  akiwahutubia maelfu ya  wananchi  wa  kitongoji cha  Malangali wilaya ya Wanging'ombe

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...