Jumapili, 2 Juni 2013

ZIARA YA KINANA MKOA WA NJOMBE YAENDELEA


 Mzee  ambae  jina lake halikuweza  kupatikana  akiungana na  wafuasi  wa Chadema waliohamia  CCM kula  kiapo cha  utii
Umati  mkubwa  wa wananchi  wa  kitongoji  cha Mlangali
 CCM  chazidi  kujitika kwa  wananchi  wa  chini  zaidi ni  dalili za  ushindi  2015


 Nape akiwashukuru  wananchi  kwa kuendelea  kujiunga na CCM na  kukimbia  vyama vya  upinzani




 Kada  wa  Chadema akionyesha kadi yake ya Chadema  baada ya  kutangaza  kujiunga na  CCM mbele  ya katibu  mkuu  wa CCM Taifa

 Wananchi wakimpokea katibu  mkuu  wa  CCM Taifa



Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...