Jumapili, 16 Juni 2013

RAIS DKT. ALI MOHAMED SHEIN AONDOKA NCHINI LEO

DSC_0057 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakiagana na Viongozi mbali mbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume,wakiondoka nchini leo kuelekea  Uingereza kwa safari Maalum ya wiki mbili.[Picha na ramadhan Othman,Ikulu.]DSC_0076 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,wakiagana na Viongozi mbali mbali katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Abeid Amani Karume,wakiondoka nchini  leo kuelekea Uingereza kwa safari Maalum ya wiki mbili.[Picha na ramadhan
Othman,Ikulu.]

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...