Jumatano, 19 Juni 2013

RAIS KIKWETE AREJEA NCHINI BAADA YA ZIARA YA KIKAZI NCHINI UINGEREZA.

IMG_8202Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisikiliza kwa makini maelezo aliyokuwa akipewa na Waziri Mkuu Ndugu Mizengo Pinda mara tu baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere akitokea nchini Uingereza. Rais Kikwete alirejea nchini tarehe 18.6.2013 usiku baada ya ziara ya kikazi nchini Uingereza.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...