Jumatano, 5 Juni 2013

RAIS WA ZANZIBAR AREJEA NCHINI BAADA YA KUMALIZA ZIARA YAKE NCHINI CHINA

DSC_0125
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohd Shein akivishwa shada la Mauwa na Mtoto Salma Issa Ali hapo katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar mara baada ya kurejea nchini akitokea China kwa Ziara ya kiserikali. DSC_0126
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akivishwa Shada la mauwa na Mtoto Salma Issa Ali hapo katika Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Zanzibar mara baada ya kurejea nchini  akitokea China kwa Ziara ya kiserikali. DSC_0127
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akisalimiana na Viongozi mbalimbali waliofika kumpokea hapo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar mara baada ya kuwasili akitokea nchini China kwa Ziara ya Kiserikali. DSC_0130
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akisalimiana na Viongozi mbalimbali waliofika kumpokea hapo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zanzibar mara baada ya kuwasili akitokea nchini China kwa Ziara ya Kiserikali.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...