Jumatano, 26 Juni 2013

WAZIRI MKUU MHE. PINDA NA MATUKIO BUNGENI MJINI DODOMA

IMG_0046Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na  washereheshaji (MAMC) wanawake kwenye viwanja vya bunge Mjini Dodoma Juni 25, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) mIMG_0114Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na wazee  kutoka Kata ya Murangi  wilaya ya Butiama  Bungeni Mjini Dodoma Juni 25, 2013. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
IMG_0212Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa zamani wa Bariadi Mashariki, Isaac Cheyo kwenye jengo la utawala la bunge Mjini Dododma Juni 25, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...